Hofu muda wa NMS ukielekea kumalizika

Na COLLINS OMULO HOFU imeibuka kuhusu ikiwa Halmashauri ya Kusimamia Jiji (NMS) itaongezewa muda kuendelea kuhudumu jijini Nairobi,...

NMS kuzindua mpango wa kusafisha jiji la Nairobi na viunga vyake mara moja kwa mwezi

COLLINS OMULO na SAMMY WAWERU SHIRIKA la Kuimarisha na Kustawisha Huduma za Jiji la Nairobi (NMS) litazindua mpango wa kusafisha jiji na...

NMS yaahirisha kuhamisha kwa matatu katikati mwa jiji hadi Januari

Na CHARLES WASONGA IDARA ya Huduma za Jiji la Nairobi (NMS) sasa imetangaza kuwa imeahirisha kufunguliwa kwa vituo vipya vya magari ya...

Sonko, Badi warushiana tope kuhusu taka mitaani

Na COLLINS OMULO UHASAMA kati ya Gavana wa Nairobi Mike Sonko na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma ya jiji la Nairobi (NMS), Meja Jemedari...

Badi aapa kuwakabili wanaotatiza kazi jijini

Na WANDERI KAMAU MKURUGENZI Mkuu wa Idara ya Huduma za Jili la Nairobi (NMS), Meja Jenerali Mohamed Badi, amesema anafahamu mwenyewe...

Mbunge apinga Badi kujumuishwa kwa Baraza la Mawaziri

Na JOSEPH WANGUI MBUNGE wa Kandara, Bi Alice Wahome ameenda mahakamani kupinga hatua ya Rais Uhuru Kenyatta kumjumuisha Mkurugenzi wa...

Sonko atambua jenerali

Na VALENTINE OBARA HATIMAYE Gavana Mike Sonko amekunja mkia na kubadili msimamo wake wa awali kuhusu Idara ya Huduma za Nairobi...

Jenerali Badi atoa kauli yake kuhusu Sonko

BENSON MATHEKA na COLLINS OMULO MKURUGENZI wa Idara ya Huduma za Nairobi (NMS), Meja Jenerali Mohamed Badi, hatimaye amevunja kimya...

Badi amuonya Sonko

Na COLLINS OMULO Uhasama kati ya Gavana wa Nairobi Mike Sonko na Mkurugenzi wa Huduma ya Jiji la Nairobi na viunga vyake...

Sonko agutuka alijivua mamlaka akabaki uchi

Na BENSON MATHEKA GAVANA Mike Sonko alipotia sahihi stakabadhi za kuhamisha majukumu muhimu katika serikali ya kaunti ya Nairobi hadi...