BAHARI YA MAPENZI: Ukatili wa kijinsia ni suala la kimamlaka

HIVI karibuni nilipita kwenye soko moja maarufu mjini Mombasa na katika shughuli zangu nilikutana na msichana ambaye alionekana ana ulemavu...