Mbunge Hassan aomba baraza la kiswahili kubuniwa nchini

Na WANGU KANURI Mbunge wa Kamukunji, Yusuf Hassan ameitaka serikali kuu kupitia Wizara ya Michezo, Utamaduni na Urithi kuanzisha rasmi...

Bunge kuzindua kanuni zake katika Kiswahili leo

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Kitaifa linatarajiwa kupiga hatua muhimu katika matumizi ya lugha ya Kiswahili kuendeshea shughuli zake kwa...

KAULI YA WALIBORA: Kuundwa kwa Baraza la Kiswahili njia pekee ya kuenzi wafia lugha

NA PROF KEN WALIBORA SIKU zote alipokuwa bungeni, Kathangu alikuwa akizungumza Kiswahili, japo hakuwa mzawa wa Uswahilini”?Wiki hii...

Serikali ya Museveni yapitisha kuundwa kwa Baraza Kuu la Kiswahili

NA MASHIRIKA KAMPALA, UGANDA SERIKALI imeidhinisha hoja ya kutaka kubuniwa kwa Baraza la Kitaifa la Kiswahili litakalotoa mwongozo...

Kenya kuunda Baraza la Kiswahili mswada ukifaulu kuidhinishwa

Na ANGELINE OCHIENG' KENYA itakuwa taifa la pili Afrika Mashariki na Kati kubuni Baraza la Kiswahili iwapo mswada ambao unaandaliwa na...