Barca nje ya 16-bora taji la UEFA

MUNICH, Ujerumani Na MASHIRIKA BARCELONA imepigwa na butwaa baada ya kubanduliwa kwenye kinyang’anyiro cha Klabu Bingwa barani...

Ni kufa au kupona kwa Barca leo UEFA

MUNICH, UJERUMANI Na MASHIRIKA LAZIMA Barcelona wapate ushindi leo usiku watakapokuwa ugenini kupambana na Bayern Munich kama...

Aguero kuyoyomea Barcelona mwishoni mwa msimu

Na MASHIRIKA FOWADI Sergio Aguero ameafikiana na Barcelona ambao sasa watamsajili kwa mkataba wa miaka miwili mwishoni mwa msimu huu wa...

Ishara Guardiola ataungana upya na Messi Barcelona 2021

CHRIS ADUNGO Na MASHIRIKA MFANYABIASHARA Victor Font ambaye anapigiwa upatu kuwa Rais mpya wa Barcelona, amesema kwamba kubwa zaidi...

Matumaini ya Barca kunolewa na Xavi yafifia

Na CHRIS ADUNGO BARCELONA wamekabiliwa na pigo baada ya kiungo wao wa zamani, Xavi Hernandez, 40, aliyetarajiwa kupokezwa mikoba ya...

Wanachama 6 wa bodi ya Barcelona wajiuzulu

Na CHRIS ADUNGO WANACHAMA sita wa Bodi ya Usimamizi ya Barcelona wamejiuzulu na kumweleza Rais Josep Bartomeu Maria kwamba...

MUUJIZA: Reds yatenda muujiza Uefa

Na MASHIRIKA MERSEYSIDE, Uingereza BARCELONA walikuwa wameduwaa, Liverpool hawaamini nao mashabiki wakawa na hisia mseto baada ya...

KUFA KUPONA: Manchester United yahitaji muujiza kulaza FC Barcelona katika marudiano

Na MASHIRIKA LONDON, UINGEREZA MANCHESTER United wanahitaji muujiza mwingine hii leo Jumanne uwanjani Camp Nou, Uhispania ili kuwakomoa...

Messi awaokoa Barca dhidi ya Nari Villareal

Na MASHIRIKA BARCELONA, Uihspania ILIBIDI kocha Ernesto Valverde wa Barcelona amuingize staa Lionel Messi kusaidia kikosi chake...

Messi ashindwa kuisaidia Barca UEFA

Na CHRIS ADUNGO MCHEZAJI matata wa Barcelona Lionel Messi Jumanne usiku alishindwa kuisaidia timu yake kuona mlango wa nusu fainali ya...