Barcelona waaga UEFA katika hatua ya makundi baada ya kuzamishwa na Bayern

Na MASHIRIKA MABINGWA mara tano wa Klabu Bingwa Ulaya (UEFA), Barcelona, walipigwa 3-0 na Bayern Munich mnamo Jumatano usiku na hivyo...

Barcelona katika hatari ya kutofuzu 16-bora UEFA baada ya kukabwa koo na Benfica ugani Camp Nou

Na MASHIRIKA MATUMAINI ya Barcelona kutinga hatua ya 16-bora ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) yalididimizwa na Benfica ya Ureno...

Barcelona walazimishiwa sare ya 3-3 dhidi ya Celta Vigo

Na MASHIRIKA BARCELONA walitupa uongozi wa 3-0 dhidi ya Celta Vigo katika mchuano wa Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) ulioshuhudia...

FC Barcelona katika mizani ya Alaves La Liga ikimsubiri Xavi

BARCELONA, Uhispania Na MASHIRIKA FC Barcelona itatumai kuanza maisha bila kocha Ronald Koeman kwa kishindo itakapoalika Alaves...

Aguero kuyoyomea Barcelona mwishoni mwa msimu

Na MASHIRIKA FOWADI Sergio Aguero ameafikiana na Barcelona ambao sasa watamsajili kwa mkataba wa miaka miwili mwishoni mwa msimu huu wa...

Barcelona waponea dhidi ya Huesca katika Ligi Kuu ya Uhispania

Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI Lionel Messi alichangia bao la pekee lililofungwa na kiungo mkabaji Frenkie de Jong katika ushindi mwembamba...

Atletico wapiga Barcelona na kufikia Real Sociedad kileleni mwa jedwali la La Liga

Na MASHIRIKA ATLETICO Madrid walipiga Barcelona 1-0 na kupaa hadi kileleni mwa jedwalini kwa Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) kwa alama...

Messi ‘kususia’ mazoezi kambini mwa Barcelona huku akikaribia kutua Manchester City

Na CHRIS ADUNGO MACHO yote ya mashabiki yataelekezwa kesho Jumatatu uwanjani Camp Nou, Uhispania kujua iwapo nyota Lionel Messi atakuwa...

Sajili mpya wa Barcelona Miralem Pjanic augua Covid-19

Na CHRIS ADUNGO KIUNGO matata wa Barcelona, Miralem Pjanic amepatikana na virusi vya corona. Hadi alipofanyiwa vipimo vya afya, nyota...

Barcelona kuajiri Koeman kujaza nafasi ya kocha Setien

Na CHRIS ADUNGO BARCELONA wamemfuta kazi kocha Quique Setien siku tatu baada ya miamba hao wa Uhispania kudhalilishwa kwa kichapo cha...

HAWANA BAHATI: Barcelona na Bayern Munich kukabiliana katika robo fainali

Na MASHIRIKA BARCELONA, UHISPANIA OLE wao! Mmoja kati ya majabali wa soka duniani; Barcelona na Bayern Munich, hatashiriki nusu...

Corona imetufilisiha, yasema Barca

Na CHRIS ADUNGO RAIS wa Barcelona, Josep Maria Bartomeu amesema “itakuwa vigumu sana” kwa miamba hao wa soka ya Uhispania (La Liga)...