Duka la Nakumatt linavyohudumia wateja kisiri Nairobi

NA BRIAN WASUNA Wakati msimamizi wa Nakumatt, Peter Opondo Kahi aliyauza matawi sita yaliyosalia kwa Naivas kwa Sh422 milioni, wengi...

Nyanya na vitunguu ghali zaidi, viazi na karoti zashuka bei

NA CHARLES MWANIKI BEI ya vyakula imepanda kwa asilimia 10.6 katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita, ikilinganishwa na asilimia 11.6...

‘Huenda uhaba wa chakula muhimu ukaanza kushuhudiwa’

Na SAMMY WAWERU WIZARA ya Kilimo imeonya huenda upungufu wa chakula muhimu ukaanza kushuhudiwa hivi karibuni kufuatia mzozo wa maeneo ya...

Afueni adimu kufuatia mafuta kushuka bei

Na LEONARD ONYANGO WAKENYA wanatarajia sasa kupata afueni baada ya Mamlaka ya Kawi na Petroli (EPRA) kupunguza bei ya mafuta kwa kiwango...

Uhaba wa nyanya waendelea kushuhudiwa bei ikipanda

Na SAMMY WAWERU UHABA wa nyanya umeshuhudiwa maeneo mbalimbali nchini kufuatia mvua inayoendelea kunyesha. Kiungo hicho cha mapishi...

Bei za mafuta zapanda

Na CHARLES WASONGA BEI ya mafuta iko juu petroli ikipanda kwa Sh2.54 kila lita, dizeli ikipanda kwa Sh2.65 nayo mafuta taa yakipanda kwa...

HAKUNA KUPUMUA: Gharama ya maisha kuzidi kupanda

Na BENSON MATHEKA GHARAMA ya maisha inatarajiwa kupanda zaidi kuanzia katika muda siku 10 zijazo kutokana na ushuru mpya wa bidhaa. Kodi...

BAJETI YA KUNYONYA: Raia kuumia zaidi

CHARLES WASONGA na VALENTINE OBARA BEI ya unga, maziwa, mkate, mafuta taa na bidhaa nyingine za kimsingi itapanda Bunge likipitisha...

Ruto akerwa na bei ghali ya mashamba jijini Nairobi

Na VALENTINE OBARA Naibu Rais William Ruto amelalamikia bei ghali ya mashamba jijini Nairobi. Akizungumza Jumanne katika ukumbi wa...

UMEME KWA WOTE: Bei ghali yazidi kulemaza mpango

Na VALENTINE OBARA BI ANNE Mueni ni mfanyabiashara anayemiliki hoteli katika eneo la Burani, Kaunti ya Kwale, ambaye ameamua kutegemea...

Mswada wa Ushuru kupandisha bei ya bidhaa muhimu

Na CHARLES WASONGA BEI ya unga wa ugali, mikate na mihogo inatarajiwa kupanda ikiwa mswada uliowasilishwa bungeni mwezi Aprili...

Ni udhalimu kuongeza bei ya mafuta taa, Wakenya walia

NA PETER MBURU WAKENYA wengi hawajafurahishwa na wazo la Tume ya Kudhibiti Kawi (ERC) nchini kutaka bei ya mafuta taa ipandishwe, na...