Benki ya Dunia yapiga jeki mpango wa Kazi Mtaani kwa Sh16.2 bilioni

Na BENSON MATHEKA BENKI ya Dunia imepiga jeki mpango wa Kazi Mtaani nchini Kenya kwa kupatia serikali mkopo wa Sh16.2 bilioni kuimarisha...

Benki ya Dunia yamwaga mamilioni Nakuru kufadhili kilimo

NA RICHARD MAOSI Wakulima Kaunti ya Nakuru Jumanne walipokezwa kitita cha Sh9.5 milioni na Benki ya Dunia ili kuanzisha miradi ya...

Benki ya Dunia yaipa Kenya mkopo wa Sh75b, deni sasa lakaribia Sh6 trilioni

PAUL WAFULA na CHARLES WASONGA HATIMAYE Benki ya Dunia (WB) imeipa Kenya mkopo wa Sh75 bilioni na kuongezea wananchi mzigo wa madeni...

Sakata ya Kenya Power yaudhi Benki ya Dunia

NA RICHARD MUNGUTI KASHFA ya uteuzi wa kampuni za kutoa huduma za uchukuzi na uwekezaji kwa Kenya Power (KP) imeudhi Benki ya Dunia (WB),...

Mtoto wa tajiri ana nafasi nzuri maishani – Benki ya Dunia

Na VALENTINE OBARA MTOTO anayezaliwa katika familia maskini nchini hupata nafasi ndogo ya kujiimarisha kiuchumi kuliko yule anayezaliwa...