BI TAIFA MACHI 19, 2021

Joan Macharia 24 ni mwanafunzi wa Cabin crew aviation.Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya urembo na kutunza wanyama aina ya...

BI TAIFA MACHI 18, 2021

Joan Macharia ,24, ni mwanafunzi wa Cabin Crew Aviation. Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya urembo na kutunza wanyama aina ya...

BI TAIFA MACHI 17, 2021

Bi Miriam Amani Nduku 23, ni mwanamitindo na mwigizaji wa filamu kutoka Nakuru Arts Theatre.Uraibu wake ni kusafiri na kuandika michezo ya...

BI TAIFA MACHI 16, 2021

Esther Wanjiru 22 ndiye mgeni wetu leo yeye ni mwanafasheni na mkaazi wa mtaa wa Barnabas eneo la Lanet.Uraibu wake ni kuogelea na...

BI TAIFA MACHI 15, 2021

Jill Amondi mwenye umri wa miaka 21 ni mwanamitindo wa Beauty Therapy.Yeye ni mkaazi wa eneo la Ngata kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni...

BI TAIFA MACHI 14, 2021

Shalon Faith  20 ni mwanafuzni wa Cabin Crew kutoka Nairobi Aviation.Kwa sasa anajihusisha na maonyesho ya urembo jijini Nakuru.Uraibu...

BI TAIFA MACHI 13, 2021

Lilian Njeri mwenye umri wa miaka 21 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mwanamitindo na mkaazi wa Narok.Uraibu wake ni kusafiri na...

BI TAIFA MACHI 12, 2021

Daisy Candy Mabeya mwenye umri wa miaka 23 ni mwanafasheni na mwanamitindo kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kuimba na kucheza...

BI TAIFA MACHI 11, 2021

Malkia wetu  Mary Marie mwenye umri wa miaka 24 ni mzaliwa wa eneo la Lanet kaunti ya Nakuru, yeye ni mwanamitindo na mwanafasheni.Uraibu...

BI TAIFA MACHI 10, 2021

Vivian Wanjiru mwenye umri wa miaka 22 ndiye mgeni wetu leo.Yeye ni mfanyibiashara na msanifishaji wa miondoko kutoka kaunti ya...

BI TAIFA MACHI 9, 2021

Sylvia Moraa 21 ni mwanafunzi wa Food and Beverages katika taasisi ya Rift Valley Institute of Science and Technology.Anapenda kutazama...

BI TAIFA MACHI 8, 2021

Laureen Etemesi 22 ni mzaliwa wa kaunti ya Kakamega,Yeye amebobea katika sekta ya utalii.Uraibu wake ni kusakata densi na kuandika miswada...