Biden, Putin kujadiliana taharuki ya Marekani, urusi kuhusu Ukraine

Na MASHIRIKA RAIS Joe Biden wa Amerika na mwenzake Vladimir Putin wa Urusi, kesho watazungumza kwa njia ya simu, kujadili taharuki iliyopo...

WANDERI KAMAU: Amerika inavyotumia unafiki kuendeleza uporaji

Na WANDERI KAMAU UKOLONI-mamboleo haujikiti kwenye siasa pekee. Vilevile, upo kwenye mawanda ya kiuchumi, kidini, kitamaduni na...

Waamerika wafurahia utendakazi wa Biden siku 100 baadaye

Na AFP HUKU akiadhimisha miaka 100 tangu aingie madarakani, Rais wa Amerika Joe Biden ameonekana kutekeleza ahadi nyingi alizotoa kwa...

Mbwa wa Biden kupewa mafunzo mapya

Na AFP MBWA wa Rais wa Amerika Joe Biden, anayefahamika kama Major, atapelekwa kupokea mafunzo zaidi kuhusu jinsi ya kuwa na tabia ya...

Biden, Uhuru washauriana kuhusu ushirikiano

Na MARY WANGARI KENYA huenda ikanufaika pakubwa kibiashara kutokana na kuimarishwa kwa uhusiano kati yake na Amerika kufuatia mazungumzo...

Biden aahidi kushirikiana na Afrika

Na AFP WASHINGTON, Amerika RAIS wa Amerika Joe Biden Ijumaa aliahidi kushirikiana na Afrika katika nyanja mbalimbali huku akiahidi...

Changamoto tele zinazomsubiri Biden kukabili

Na AFP JOE Biden jana aliapishwa rais wa 46 wa Amerika na kutamatisha utawala wa Donald Trump uliosheheni misukosuko na...

Kibarua cha kurejesha hadhi ya Amerika duniani chaanza

MASHIRIKA na SAMMY WAWERU Ni bayana Bw Joe Biden ndiye Rais wa 46 wa Amerika, nchi yenye ushawishi mkubwa duniani, baada ya kuapishwa...

Demokrasia imeshinda, asema Biden baada ya kuapishwa kuwa Rais

CHARLES WASONGA NA MASHIRIKA NI rasmi sasa kwamba Joe Biden ndiye Rais wa 46 wa Amerika baada ya kula kiapo cha afisi Jumatano, Januari...

Ulinzi mkali mmoja akinaswa akiwa na bastola, risasi 500 eneo Biden ataapishwa kuwa Rais

Na AFP MWANAMUME aliyejihami kwa bastola na risasi zaidi ya 500 alikamatwa jijini Washington katika kituo cha ukaguzi wa kiusalama...

Biden ajiandaa kuingia Ikulu Trump akiendelea kulalamika

Na AFP RAIS mteule wa Marekani Joe Biden jana aliendelea na maandalizi ya kuchukua rasmi uongozi wa taifa hilo licha ya Rais Donald...

Uhuru aongoza vigogo wa kisiasa kumpongeza Biden

Na WANDERI KAMAU VIONGOZI mbalimbali nchini jana waliungana na wenzao duniani kumpongeza Rais Mteule wa Amerika, Joe Biden na...