FAUSTINE NGILA: Wapi utekelezwaji wa Ripoti ya Blokcheni?

Na FAUSTINE NGILA NI miaka mitatu sasa tangu Ripoti ya Blockcheni na Akili Bandia (AI) iwasilishwe kwa serikali kwa ajili ya utekelezaji...

NGILA: Huduma Namba itumie ‘Blockchain’ kufanikiwa

NA FAUSTINE NGILA Jina langu kwenye kitambulisho ni Faustine, lakini ajenti wa M-Pesa aliyenisajili kwenye huduma hiyo ya kutuma na...

NGILA: Tunahitaji suluhu tosha kwa sekta ya nyama nchini

NA FAUSTINE NGILA JUMA lililopita nilihudhuria kongamano la Siku ya Ubunifu mtaani Westlands, Nairobi lililoandaliwa na kampuni ya...

KUZIMA UFISADI: Wito elimu ya Blockchain ienezwe kote nchini

NA FAUSTINE NGILA NI SIKU ya Ijumaa ambapo Taifa Leo imehudhuria Warsha ya Teknolojia katika Chuo Kikuu cha Strathmore. Kumejaa...

NGILA: Wito wa elimu ya Blockchain utaifaa nchi

Na FAUSTINE NGILA JUMA lililopita, nilihudhuria warsha ya teknolojia katika Chuo Kikuu cha Strathmore almaarufu Nairobi Tech Week ambapo...

UVUMBUZI: Teknolojia zitakazovuma 2019

NA FAUSTINE NGILA HUKU teknolojia mpya zikizidi kubuniwa, uvumbuzi duniani na utumizi wa teknolojia zilizopo unabadilisha utendakazi wa...

Crowe Global yawekeza kwa ‘blockchain’ kuimarisha ushindani

MILLICENT MWOLOLO na PETER MBURU KAMPUNI ya ukaguzi na kutoa ushauri wa masuala ya ushuru Crowe Global imewekeza katika teknolojia ya...

BLOCKCHAIN: Suluhu tosha kuzima ufisadi na wizi wa kura

NA FAUSTINE NGILA KWA Wakenya wengi, neno 'blockchain' ni geni, lakini kwa wawekezaji wa sarafu za dijitali na hata Hazina Kuu, ni neno...