Museveni atuma jeshi kumzima Bobi Wine

Na DAILY MONITOR KAMPALA, Uganda POLISI na jeshi jana Jumanne walizunguka makazi ya mwanasiasa Bobi Wine na kumzuia kufanya ziara...

Bobi Wine azimwa kuelekea Amerika kwa kutotimiza masharti ya kudhibiti Covid-19

Na DAILY MONITOR KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi Sentamu, maarufu kama Bobi Wine, Ijumaa alizuiwa kusafiri hadi...

Kizaazaa Jaji kulalama faili ya kesi ya Bobi Wine imetoweka

NA DAILY MONITOR KULIKUWA na purukushani katika Mahakama ya Juu Alhamisi baada ya faili ambayo jaji wa mahakama hiyo alitarajiwa kutumia...

Uganda yarukia EU kwa kutaka iwekewe vikwazo

Na MASHIRIKA KAMPALA, Uganda UGANDA imeukashifu Umoja wa Ulaya (EU) kwa kuingilia masuala yake ya ndani baada ya bunge la umoja huo...

Bobi Wine afika mahakamani kupinga ushindi wa Museveni

DAILY MONITOR Na SAMMY WAWERU Mawakili wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine wamewasilisha kesi katika mahakama ya juu zaidi...

Bobi Wine akerwa na kimya cha viongozi wa bara Afrika

Na DAILY MONITOR KAMPALA, UGANDA ALIYEKUWA mwaniaji wa urais Robert Kyagulanyi Ssentamu, maarufu Bobi Wine, ameshutumu vikali Jumuiya...

Polisi watibua maandamano ya wafuasi wa Bobi Wine jijini Nairobi

  MERCY CHELAGAT Na SAMMY WAWERU Maafisa wa polisi Ijumaa walifurusha kundi la wafuasi wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda...

MAUYA OMAUYA: Bobi Wine ameweka msingi, mapambazuko yanakaribia

Na MAUYA OMAUYA Ikiwa ulizaliwa mnamo 1986 nchini Uganda, basi kwa jumla ya miaka 35 umeishi chini ya utawala wa rais mmoja tu - Yoweri...

Bobi Wine alia njaa majeshi yekiendelea kumfungia nyumbani mwake

Na DAILY MONITOR KAMPALA, Uganda MAAFISA wa usalama Jumatano waliendelea kuzingira makazi ya aliyekuwa mgombeaji wa urais wa upinzani...

Wanajeshi wa Uganda wamzima balozi wa Amerika kumtembelea Bobi Wine

MASHIRIKA NA WANGU KANURIĀ  Balozi wa Amerika nchini Uganda alizuiwa kumtembelea kiongozi wa upinzani Bobi Wine nyumbani mwake na...

MIAKA 40: Museveni ashinda urais kwa mara ya sita mfululizo

Na CHARLES WASONGA TUME ya Uchaguzi Uganda (UEC) imetangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama mshindi wa uchaguzi wa urais baada ya kuzoa...

Museveni angali mbele Bobi Wine akisisitiza wanajeshi walilazimisha raia kupigia kura ‘dikteta’

DAILY MONITOR na CHARLES WASONGA SHUGHULI za kuhesabu kura Uganda ziliingia siku yake ya pili Jumamosi huku matokeo yasiyo rasmi...