Ronaldo acheka na nyavu na kusaidia Juventus kurejelea Serie A kwa kishindo

Na CHRIS ADUNGO CRISTIANO Ronaldo alifunga bao na kusaidia Juventus kurejelea kampeni za Ligi Kuu ya Italia (Serie A) kwa ushindi wa 2-0...