Watahiniwa wahamishwa kwa ndege ya KDF msituni Boni

NA WAANDISHI WETU WAKATI wanafunzi wapatao milioni 2.5 walipokuwa wakijiandaa kwa mitihani yao ya kitaifa ya Gredi 6 na Darasa la Nane...

KDF wajengea Waboni shule ya bweni

Na Kalume Kazungu WANAJESHI wa Kenya (KDF) wanaoendeleza operesheni ya usalama kwenye msitu wa Boni, Kaunti ya Lamu wamekabidhi shule ya...

Dai serikali ilihadaa kuhusu miradi Boni

Na KALUME KAZUNGU SERIKALI ya kitaifa imelaumiwa kwa kutokamilisha miradi mikuu iliyokuwa imepangwa kutekelezwa kwenye maeneo ambako...

Afueni kwa shule 6 kufunguliwa baada ya miaka saba

NA KALUME KAZUNGU AFUENI imepatikana kwa zaidi ya wanafunzi 400 wa shule sita zilizoko msitu wa Boni zilizofungwa kwa miaka saba, Kaunti...

KDF wavamia kambi ya Al Shabaab msituni Boni, waua wanne

MOHAMED AHMED NA KALUME KAZUNGU KIKOSI maalum cha wanajeshi wa Kenya jana kilivamia kambi ya kundi la magaidi wa Al Shabaab katika msitu...

Sh50 bilioni zaishia msituni

Na KALUME KAZUNGU SERIKALI imetumia zaidi ya Sh50 bilioni kukabiliana na magaidi wa Al-Shabaab katika Msitu wa Boni, Kaunti ya...

Himizo serikali na mashirika kuwapelekea msaada wakazi wa vijiji vya Boni wanaokabiliwa na baa la njaa

Na KALUME KAZUNGU WAKAZI wapatao 3,000 wa vijiji vya msitu wa Boni, Kaunti ya Lamu wanakabiliwa na njaa, hali ambayo imewasukuma wengi...

Waboni walia maisha magumu huenda yakaangamiza jamii yao

NA KALUME KAZUNGU WAZEE kutoka jamii ya Waboni, Kaunti ya Lamu, wanaitaka serikali ya kitaifa kufikiria kuangazia sekta nyingine muhimu za...

Wakazi wafokewa kuficha Al Shabaab msituni Boni

NA KALUME KAZUNGU WAKAZI wa maeneo ambako kumekuwa kukitekelezwa mashambulizi na mauaji ya mara kwa mara na magaidi wa Al-Shabaab kaunti...

Red Cross yawafadhili Waboni kwa biashara na kilimo

NA KALUME KAZUNGU SHIRIKA la Msalaba Mwekundu limezindua mpango maalum unaolenga kuisaidia jamii ya Waboni katika kaunti ya Lamu kubadili...

Waboni waitaka serikali iwajengee shule ya bweni

NA KALUME KAZUNGU JAMII ya Waboni sasa inaitaka serikali kubuni shule moja ya bweni itakayohudumia zaidi ya wanafunzi 400 kutoka vijiji...

Msako dhidi ya Al-Shabaab msituni Boni waanzishwa

NA KALUME KAZUNGU MAAFISA wa usalama kwen-ye msitu wa Boni, Kaunti ya Lamu wameanzisha msako mkali dhidi ya magaidi wa Al-Shabaab...