BURUDANI: Daisy apania kutinga upeo wa Gal-Gadot Varsano

Na JOHN KIMWERE TASNIA ya filamu hapa nchini inazidi kufurika wasanii wanaokuja kila kuchao. Daisy Waigumo Karuiru ni kati ya wana...

Wasanii wa Baba Dogo watikisa anga za muziki jijini

Na WINNIE A ONYANDO Usanii unahitaji ubunifu na uvumilivu, haijalishi utokako. Haya ndiyo maoni ya wasanii wawili chipukizi ambao wameunda...

Aunda programu ya kuvumisha burudani

Na MAGDALENE WANJA Mnamo mwezi Aprili mwaka 2020, serikali ilikuwa imeanza kuweka sheria mpya za kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa...

BURUDANI: Malisaba azidi kukifua kipaji cha uigizaji

Na JOHN KIMWERE ANAAMINI anatosha mboga kufanya vizuri katika tasnia ya maigizo na kutinga upeo wa kimataifa miaka ijayo. Anasema...

Tapeli mkubwa wa Showbiz Wilkins Fadhili acheza kama yeye tena

NA TOM MATIKO WAKATI mwingine mimi hushindwa kuelewa kabisa Wakenya tunaishi katika sayari ipi. Juzi tena kumezuka stori kuhusu tapeli...

BURUDANI: DJ aeleza jinsi Covid-19 ilivyoyumbisha mikataba, ana imani Desemba na Januari hali itakuwa shwari

Na DIANA MUTHEU KABLA ya janga la corona kuikumba nchi yetu, kwa kawaida ungempata Susan Wanjiru, 34 maarufu kama VJ Shiroh...

BURUDANI: Alfa Ryus alianza kwa kuiga, sasa ni mwanamuziki shupavu

Na ABDULRAHMAN SHERIFF ALIANZIA tasnia ya muziki akiigiza vibao vilivyoimbwa na magwiji ambao wameimba nyimbo zilizoitikiwa na kuwa...

BURUDANI: Msanii anayeinukia ambaye ana ndoto ya kuwa daktari

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com MSANII Shirleen Vobic, 10, tayari ameshajipatia jina katika kaunti ya Nakuru. Ana...

KIPWANI: Lil Mizze ataka wasanii Pwani washirikiane kufanya eneo zima kitovu cha talanta

Na ABDULRAHMAN SHERIFF ANA imani kubwa atafika mbali kimuziki hasa kwa kuwa hivi sasa yuko chini ya menejimenti ya Dkt Giuseppe...

BURUDANI: Highland Academy Actors wana ari ya kutoa filamu kadhaa zenye mafunzo ya maadili mema

Na ABDULRAHMAN SHERIFF MAKUNDI ya wasanii na hasa ya waigizaji yamekuwa yakianzishwa katika sehemu za kaunti ndogo za Kisauni, Nyali,...

BURUDANI: Amefuata asili ya upande wake wa nchi jirani kuinua kipaji chake

Na ABDULRAHMAN SHERIFF MSANII aliyechanganya damu ya Mkenya na Mtanzania, anasema fahari yake ni kwamba amefuata asili ya upande wake wa...

BURUDANI: Ana vibao kemkem vya kuzindua, asubiri mawimbi ya Covid-19 yatulie

Na ABDULRAHMAN SHERIFF JANGA la corona ndilo limemchelewesha kurudi nyumbani kutoka Dubai kuzindua vibao kemkem ambavyo angali ana...