Burundi yakiri Covid-19 ni hatari

Na AFP GITEGA, BURUNDI RAIS mpya wa Burundi, Evariste Ndayishimiye sasa ametangaza virusi vya corona kuwa “adui mkuu”...

Rais mpya wa Burundi aapishwa

NA AFP Rais mpya wa nchi ya Burundi Jenerali Evariste Ndayishimiye ameapishwa Alhamisi kufuatia kifo cha rais aliyemtangulia Pierre...

Ndayishimiye kuapishwa awe Rais wa Burundi haraka iwezekanavyo

MASHIRIKA na CHARLES WASONGA GITEGA, BURUNDI MAHAKAMA ya kikatiba ya Burundi imeamua kwamba Rais mteule Evariste Ndayishimiye ndiye...

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza afariki

NA MASHIRIKA RAIS wa Burundi Pierre Nkurunziza amefariki Jumanne jioni kutokana na msukumo wa moyo akiwa na umri wa miaka 55, serikali ya...

Mke wa Rais wa Burundi alazwa katika hospitali nchini Kenya

Na BENSON MATHEKA MKE wa Rais wa Burundi anayeondoka Pierre Nkurunziza amelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Nairobi alikopelekwa...

Evariste Ndayishimiye ndiye rais mpya wa Burundi

NA MASHIRIKA Mgombea  urais wa chama tawala cha Burundi Bw Evariste Ndayishimiye ameshinda uchaguzi wa urais uliofanyika wiki iliyopita...

Museveni na Kagame waridhiana

Na AFP MARAIS wa Rwanda na Uganda wametia saini makubaliano ya kusitisha uhasama kati ya mataifa hayo ambao umekithiri kwa miezi...

Afisi za upinzani zapakwa kinyesi uchaguzi ukinukia

Na MASHIRIKA ZAIDI ya afisi 10 za chama kikuu cha upinzani nchini Burundi zimepakwa kinyesi cha binadamu na zingine kuteketezwa ndani ya...

Burundi kukatiza uhusiano wake na Umoja wa Mataifa

Na MASHIRIKA BURUNDI imetisha kukatiza uhusiano wake na balozi wa Umoja wa Mataifa katika nchi hiyo kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa...

FAHARI TELE: Historia mataifa yote ya Afrika Mashariki kutua fainali AFCON

Na MASHIRIKA DAR ES SALAAM, TANZANIA TANZANIA waliwapepeta Uganda 3-0 jijini Dar es Salaam mnamo Jumapili na kufuzu kwa fainali za Kombe...

Burundi yaingia AFCON 2019 kuongeza washiriki kutoka CECAFA kuwa timu tatu

Na GEOFFREY ANENE BURUNDI imekuwa timu ya hivi punde kutoka eneo la Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) kutinga Kombe la Bara Afrika (AFCON)...

Kenya yapangwa na Burundi katika mchujo wa CHAN

Na WAANDISHI WETU KENYA watakuwa wenyeji wa Burundi kati ya Julai 26-28 katika mkondo wa kwanza wa mchuano wa kufuzu kwa fainali za CHAN...