Keki anazooka zinapendwa na wateja kote nchini

Na MAGDALENE WANJA BI Catherine Ndung’u amepata umaarufu miongoni mwa wateja wake kutoka sehemu mbalimbali za nchi wanaonunua keki...