Cavani apigwa marufuku na kutozwa faini ya Sh14 milioni kwa utovu wa nidhamu

Na MASHIRIKA MFUMAJI Edinson Cavani wa Manchester United amepigwa marufuku ya mechi tatu na kupigwa faini ya Sh14 milioni kwa ujumbe wa...

Cavani kuendelea kusakatia Man United hata baada ya msimu huu

CHRIS ADUNGO Na MASHIRIKA KOCHA Ole Gunnar Solskjaer amefichua kwamba Manchester United wana mpango wa kurefusha mkataba wa fowadi...

Cavani atokea benchi kuiongeza Man-United nguvu za kupiga Southampton

Na MASHIRIKA EDINSON Cavani alitokea benchi na kuchochea Manchester United kutoka nyuma kwa mabao mawili na kupepeta Southampton 3-2...

COVID-19: Cavani kusubiri zaidi kabla ya kuchezea Manchester United

Na MASHIRIKA SAJILI mpya wa Manchester United, Edinson Cavani, atachelewa zaidi kuwajibishwa kwa mara ya kwanza katika kikosi cha kocha...

Cavani aahidi kufufua makali ya Manchester United

Na MASHIRIKA MANCHESTER United wamemsajili fowadi wa zamani wa Paris Saint-Germain (PSG), Edinson Cavani, 33, bila ada yoyote. Nyota...

CAVANI TAMAA YA CHELSEA: Kocha Frank Lampard amtaja Edinson ‘mchezaji aliyekamilika’

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza KOCHA Frank Lampard amemtaja Edinson Cavani kama mwanasoka aliyekamilika, siku chache tu baada ya...

Hofu PSG baada ya Mbappe na Cavani kupata majeraha

Na MASHIRIKA PARIS, UFARANSA KOCHA Thomas Tuchel wa Paris Saint-Germain (PSG) amekiri kwamba kuumia kwa washambuliaji Kylian Mbappe...