Vihiga Queens kufufua uadui na CBE ya Ethiopia kwenye fainali ya Cecafa kuingia Klabu Bingwa Afrika

Na GEOFFREY ANENE WENYEJI Vihiga Queens watamenyana na CBE (Ethiopia) katika fainali ya mashindano ya Afrika Mashariki na Kati (Cecafa)...