Serikali ‘yachapisha’ pesa mpya kufufua uchumi

NA FAUSTINE NGILA SERIKALI 'imechapisha' fedha mpya za Sh15 bilioni katika kipindi cha siku saba kufikia Septemba 25, kulingana na...

Huenda asilimia 75 ya kampuni zikafungwa Juni – CBK

NA FAUSTINE NGILA HALI ya uchumi nchini inazidi kudorora kutokana na makali ya janga la Covid-19, huku serikali ikionya huenda Wakenya...

Corona itakavyoitatiza Kenya kulipa madeni

VALENTINE OBARA na BENSON MATHEKA MIKOPO tele iliyochukuliwa na serikali sasa imeitia nchi taabani kwani janga la corona linaendelea...

Njoroge Gavana Bora wa benki katika mataifa ya Kusini mwa Jangwa la Sahara

Na CHARLES WASONGA na MAGDALENE WANJA GAVANA wa Benki Kuu ya Kenya (CBK) Patrick Njoroge ametawazwa kama Gavana Bora wa benki katika...

Sh1000: Tuwakumbushe mama na nyanya zetu mashambani kuhusu noti mpya – CBK

Na CHARLES WASONGA BENKI Kuu ya Kitaifa (CBK) imewataka Wakenya wawakumbushe mama na nyanya zao wanaoishi mashambani kuhusu kukaribia...

CBK kushirikiana na benki za kigeni kunasa wafisadi

Na CHARLES WASONGA GAVANA wa Benki Kuu ya Kenya (CBK) Patrick Njoroge Alhamisi amesema kuwa benki hiyo inashirikiana na benki kuu za...

CBK yashikilia tafsiri sahihi ya ‘Bank’ ni ‘Banki’ kwenye noti mpya

Na CHARLES WASONGA MKUU wa kitengo cha mawasiliano katika Benki Kuu ya Kenya Wallace Kantai (pichani) Jumatano alizima mjadala kuhusu...

Njoroge kuendelea kuwa gavana wa Benki Kuu ya Kenya

Na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta amemteua Gavana wa Benki Kuu ya Kenya, Dkt Patrick Njoroge, kuhudumu kwa kipindi kingine cha miaka...

Benki Kuu yadinda kupandisha kiwango cha riba

Na BERNARDINE MUTANU Wakenya wamepata afueni baada ya Benki Kuu ya Kenya (CBK) kukataa kupandisha kiwango cha mwisho cha riba kwa benki...

CBK yaonya benki kuhusu wafanyakazi walaghai

Na BERNARDINE MUTANU Benki Kuu ya Kenya (CBK) imezitaka benki kuimarisha ukaguzi wa wafanyikazi wake na biashara za nje. Hii ni kutokana...

Kenya pazuri kupata mkopo mwingine wa Eurobond

Na BERNARDINE MUTANU AZMA ya serikali ya kuchukua mkopo wa Eurobond mwaka huu imepigwa jeki kutokana na mazingira ya mikopo...

Benki zakaidi kupunguzia wateja riba ya mikopo

Na BERNARDINE MUTANU LICHA ya Benki Kuu ya Kenya kushusha kiwango cha riba, benki za humu nchini zimekataa kupunguza riba kwa wateja...