Bei ya chai sasa yapanda kanuni mpya zikianza kuzaa matunda

Na ANITA CHEPKOECH MAUZO ya chai katika mnada wa Mombasa yameimarika hadi kiwango cha asilimia 87, baada ya kudorora kwa muda...

LISHE NA VINYWAJI: Ni faida zipi mtu anapata kwa kunywa kahawa?

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com KAHAWA ni kinywaji maarufu na kinachopendwa sana na watu wengi. Kupendwa kwa kinywaji...

Hakuna chai wala chakula kwa maseneta kikaoni

NA DAVID MWERE HUKU maseneta wote 67 wakikongamana Jumanne baada ya Seneti kusitisha vikao vyake hapo Machi 17 kutokana na janga la...

Pasta azirai na kufa katika mzozo wa chai na binti yake

BENSON AMADALA na MACHARIA MWANGI UGOMVI kati ya pasta mstaafu wa Kanisa la Church of God eneo la Ingotse, Kaunti ya Kakamega na bintiye...

Mashine hizi zinatupotezea hamu ya uroda, wakulima wa chai walia

Na PETER MBURU VIONGOZI wa wafanyakazi wa kuchuna majani chai wameunga mkono baadhi ya serikali za kaunti ambazo zimo mbioni kuunda...

Sishuki hapa bila chai, mahabusu awahangaisha askari

Na GERALD BWISA KULIZUKA kizaazaa katika mahakama ya KitaleĀ  Jumanne asubuhi baada ya mmoja wa mahabusu kukataa kushuka kutoka kwa lori...