AFYA: Umuhimu wa mtu kula chakula kwa uwiano unaotakiwa

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com ULAJI wa chakula unaofaa ni ule ambao mtu anahakikisha kwamba anakila chakula...

Bawabu aliyeingia kwa nyumba aliyolinda kusaka chakula motoni

Na RICHARD MUNGUTI BAWABU aliyeingia ndani ya nyumba aliyokuwa analinda kusaka chakula anasubiri uamuzi ikiwa atasukumwa gerezani au...

‘Nimeandaa mapishi 25 kutoka nchi mbalimbali Afrika na Ulayani’

Na MAGDALENE WANJA Bi Ayumi Yamamoto alizaliwa na kulelewa katika mji wa Osaka nchini Japan ambapo alisoma na kuhitimu katika kozi ya...

‘Mama ntilie’ mpishi kigogo wa kibandani

Na Ludovick Mbogholi BI. Aisha Omar(40) anafanya kazi ya upishi katika eneo la Liwatoni, Ganjoni mkabala na eneo la viwanda na...

Mbunge ataka maafisa wasihujumu uchunguzi chakula kilichodhuru kadhaa Kikuyu

Na MWANGI MUIRURI MBUNGE wa Kikuyu Kimani Ichung’wa ameteta kwamba kuna maafisa wakuu serikalini katika idara za kiusalama wanaohujumu...

MAHANGAIKO: Baadhi ya wakazi wa Mayungu wategemea dampo kupata chakula

Na FARHIYA HUSSEIN TUNAKARIBISHWA na taka zilizooza na kuozeana na kutapaka kila mahali huku zikitoa uvundo eneo la Mayungu, Malindi,...

Kaunti yawapa chakula ombaomba kama njia ya kuwataka wasijazane mjini

Na WINNIE ATIENO WAKATI huu wa janga la Covid-19 ni kipindi ambacho familia za kurandaranda na wale wa kuombaomba wanaendelea kumiminika...

Ruto na Ichung’wa wakana kuwapa wakazi wa Kiambu chakula hatari

NA SIMON CIURI Utata umeibuka kuhusu aliyetoa chakula cha msaada kilichopewa wakazi wa kaunti ya Kiambu Jumatatu ikidaiwa chakula hicho...

‘Huenda uhaba wa chakula muhimu ukaanza kushuhudiwa’

Na SAMMY WAWERU WIZARA ya Kilimo imeonya huenda upungufu wa chakula muhimu ukaanza kushuhudiwa hivi karibuni kufuatia mzozo wa maeneo ya...

Usambazaji wa vyakula vya msaada kwa walio karantini waanza Wajir

Na FARHIYA HUSSEIN KAUNTI ya Wajir imeanzisha shughuli ya ugavi wa vyakula kwa wakazi walioathirika na Ukimwi, walemavu na wale...

Awamu ya kwanza ugavi wa chakula kwa familia za kipato cha chini Mombasa kukamilika kesho Jumanne

Na MISHI GONGO AWAMU ya kwanza ya ugavi wa chakula kwa familia za kipato cha chini katika Kaunti ya Mombasa unatarajiwa kukamilika...

‘Chakula kinauzika sokoni kuliko bidhaa nyinginezo’

Na SAMMY WAWERU BIASHARA ya chakula ndiyo inawaingizia wengi pesa kipindi hiki ambapo taifa linapambana kudhibiti maambukizi ya...