Acakoro Ladies yatinga fainali Chapa Dimba, South B United yanoa

Na JOHN KIMWERE MATUMAINI ya wavulana wa South B United kubeba ubingwa wa kitaifa wa taji la Chapa Dimba na Safaricom Season Two,...

Luis Garcia kuhudhuria fainali za Chapa Dimba

Na JOHN KIMWERE MWANASOKA mstaafu aliyewahi kuzipigia klabu za Liverpool na Barcelona bila kusahau Atletico Madrid, winga Luis Javier...

Hapa majitapo tu kuelekea fainali za Chapa Dimba

Na JOHN KIMWERE WAVULANA wa South B United wanasisitiza kwamba bado hawajayeyusha tumaini la kutwaa ubingwa wa taji la Chapa Dimba na...

Chipukizi wa Chapa Dimba na Safaricom wajifunza mengi ugenini

Na JOHN KIMWERE WANASOKA chipukizi wa timu za taifa za Chapa Dimba na Safaricom Season Two, kwa wavulana na wasichana wamerejea baada ya...

Vikosi vya Chapa Dimba tayari kusafiri Uhispania

Na JOHN KIMWERE TIMU za taifa za wavulana na wasichana kwa wasiozidi umri wa miaka 20 ya Chapa Dimba na Safaricom Season Two...

South B United, Acakoro Ladies ndani ya fainali Chapa Dimba

Na JOHN KIMWERE TIMU ya South B United na Acakoro Ladies zimeibuka wafalme na malkia wa kinyang'anyiro cha Chapa Dimba na Safaricom...

Afisa aisifia Safaricom kuandaa kipute cha Chapa Dimba

Na JOHN KIMWERE KUSEMA kweli Safaricom inapiga shughuli safi. Ni matamshi yake kinara wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) Tawi la...

Jericho Allstars na South B United kuwasha moto Chapa Dimba

Na JOHN KIMWERE TIMU ya wavulana ya Jericho Allstars itapepetana na South B United katika fainali ya Mkoa wa Nairobi kuwania ubingwa wa...

Berlin FC mabingwa wa Chapa Dimba Kaskazini Mashariki

Na JOHN KIMWERE TIMU ya Berlin FC ilionyesha weledi wake na kutwaa ubingwa wa Chapa Dimba na Safaricom Season Two katika Mkoa wa...

Euronuts wasema Sh1 milioni za Chapa Dimba ni zao

Na JOHN KIMWERE CHIPUKIZI wa Euronuts FC kutoka Kiambu wamedai kwamba wamekaa vizuri kutesa wapinzani wao na kutawazwa wafalme wa...

Ni kivumbi fainali za Chapa Dimba Kaskazini Mashariki

Na JOHN KIMWERE USHINDANI mkali unatazamiwa kushushwa Jumanne kwenye nusu fainali kupigania ubingwa wa Chapa Dimba na Safaricom Season...

Barcelona Ladies watazamiwa kutwaa ubingwa Chapa Dimba

NA JOHN KIMWERE TIMU ya Barcelona Ladies inatazamiwa kuwa kati ya vikosi vya kuogopwa kwenye fainali za kitaifa kuwania ubingwa wa Chapa...