Ngilu: Mwanasiasa wa kike mwenye ujasiri wa aina yake

KWA HISANI YA KYB WAKATI Charity Kaluki Ngilu alipogombea urais 1997, yeye na mshindi wa nobeli Wangari Maathai waliandikisha historia...

Usipounga Raila hutoboi, Ngilu aonya Kalonzo

Na KITAVI MUTUA GAVANA wa Kitui, Charity Ngilu, amemwambia kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka kwamba, hatakuwa kwenye serikali ijayo iwapo...

Ngilu atoa hakikisho kortini kuwa atalipa madaktari mishahara ya miezi minne

Na RICHARD MUNGUTI GAVANA CHARITY Ngilu jana aliambia mahakama kuu kwamba atalipa madaktari 20 mishahara ya miezi minne iliyokuwa...

Ngilu aagizwa afike kortini kueleza sababu ya kutolipa madaktari 19

Na RICHARD MUNGUTI GAVANA wa Kitui, Bi Charity Ngilu, Alhamisi aliagizwa afike kortini Oktoba 14 kwa kukaidi agizo la kuwalipa madaktari...

Ngilu aweka ushirika na NHIF kuwezesha familia 200,000 za mapato ya chini kugharimia matibabu

Na Kitavi Mutua SERIKALI ya Kaunti ya Kitui imeanza kusajili zaidi ya familia 200,000 kwenye Mpango wa Afya kwa Wote (UHC) kama njia ya...

Ngilu ahimiza Kalonzo amuunge Raila mkono

Na PIUS MAUNDU GAVANA wa Kitui, Bi Charity Ngilu amemtaka Kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka atupilie mbali azma yake ya kuwania urais...

Vifaranga wapya wa Raila

Na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa chama cha ODM, Raila Odinga, amewanasa washirika wapya baada ya vinara wa vyama vikuu vya kisiasa kuapa...

Ngilu aitunuka sifa ripoti ya BBI

Na SAMMY WAWERU GAVANA wa Kaunti ya Kitui Charity Ngilu amehimiza wananchi kuzingatia masuala aliyayataja ya muhimu yaliyomo ndani ya...

Ngilu kusambaza barakoa bila malipo kwa wanafunzi 72,000

Na KITAVI MUTUA WANAFUNZI 72,000 katika Kaunti ya Kitui watanufaika na barakoa za bure kutoka kwa serikali ya kaunti. Gavana Charity...

JAMVI: Kalonzo alivyomwokoa Ngilu kutoka kinywa cha mamba

Na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ‘alicheza nyuma ya pazia’ kumuokoa Gavana wa Kitui, Bi Charity Ngilu...

Mawakili wa Ngilu wavamiwa bunge la kaunti

Na KITAVI MUTUA MAWAKILI watatu wa Gavana wa Kitui Charity Ngilu, Jumatatu walishambuliwa na kutimuliwa kutoka majengo ya bunge la...