Maeneobunge 70 zaidi ni haramu – Chebukati

Na CHARLES WASONGA TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetaja maeneo bunge mapya 70 yaliyopendekezwa katika Mswada wa marekebisho ya...

IEBC haina nia ya kuhujumu BBI – Chebukati

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amekana madai ya Mbunge wa Suna Mashariki Junet...

Viongozi wa Magharibi waitetea IEBC

BRIAN OJAMAA na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa Ford Kenya Moses Wetang’ula ameongoza viongozi wa magharibi mwa Kenya kushutumu wanasiasa...

BBI yapendekeza Chebukati na wenzake wapigwe kalamu

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati na makamishna Abdi Guliye na Boya Molu...

Chebukati alaumu BBI kwa kupuuza maoni ya IEBC

Na VALENTINE OBARA MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Bw Wafula Chebukati amelaumu jopo la Mpango wa Maridhiano (BBI)...

JAMVI: Chebukati hatarini kusombwa na mawimbi ya mageuzi

Na LEONARD ONYANGO MAPENDEKEZO ya jopo la BBI ya kutaka makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) waondoke huenda yakatatiza...

Chebukati awajibu wabunge wa ODM wanaolalama

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati, amejibu madai ya wabunge wa ODM kwamba tume...

Makamishna IEBC wawe watano, Chebukati aunga

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati sasa anakubaliana na wabunge kwamba idadi ya...

JAMVI: Tuhuma za ufisadi huenda zikaathiri utendakazi wa Chebukati

Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine maswali yameibuliwa kuhusu iwapo mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula...

Chebukati sasa aitaka serikali impe hela afungue seva

Na WYCLIFFE MUIA MWENYEKITI wa Tume ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC), Bw Wafula Chebukati sasa anaitaka serikali kuipa tume hiyo pesa ili...

TAHARIRI: IEBC inahitaji kupigwa darubini upya

NA MHARIRI Kwa mara nyingine, Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeonyesha kuwa udhaifu unaoikumba taasisi hiyo muhimu hauwezi kumalizwa...

Ajabu ya Chebukati kumtetea Chiloba baada ya kumtimua

Na PETER MBURU MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amemtetea aliyekuwa Afisa Mkuu Mtendaji (CEO) wa...