Niko salama, asema Cherargei

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE Seneta wa Nandi Samson Cherargei ameongea kufuatia ripoti zilizosambaa kwamba amehusika katika ajali ya...

Seneta Cherargei ahusika katika ajali ya barabarani

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Nandi Samson Cherargei anapokea matibabu katika hospitali ya kibinafsi ya St Luke, Eldoret baada ya...

Cherargei aachiliwa kwa dhamana

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Kaunti ya Nandi Samson Cherargei aliachiliwa huru Jumanne alasiri kwa dhamana ya Sh300,000 pesa taslimu...

Cherargei aibua ubabe wa kisiasa kati ya Ruto na Moi

BARNABAS BII na WYCLIFFE KIPSANG MATAMSHI ya Seneta wa Nandi Samson Cherargei ya kuwaonya wanaompiga vita Naibu Rais Dkt William Ruto...

Cherargei amtaka Gavana Sang ajiuzulu kwa ‘kupoteza’ Sh2.3b

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Nandi Samson Cherargei sasa anamtaka Gavana wa kaunti hiyo Stephen Sang’ kujiuzulu la sivyo atimuliwe...

TAHARIRI: Vita dhidi ya ufisadi havilengi kabila lolote

NA MHARIRI Madai yaliyotolewa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kutoka eneo la Bnde la Ufa kwamba vita dhidi ya ufisadi vinavyoendelea...

Amri ya kubomoa jengo la gavana yakoroga seneta

Na DENNIS LUBANGA SENETA wa Kaunti ya Nandi, Bw Kiprotich Cherargei, ametishia kushtaki Mamlaka ya Kitaifa ya Ujenzi (NCA) baada ya...