Chifu asimamishwa kazi kwa kutafuna hongo ya Sh30,000

Na RICHARD MUNGUTI NAIBU wa chifu katika kata ya Highridge, Nairobi Jumatatu aliagizwa asimamishwe kazi mara moja baada ya kushtakiwa...

Kazi ya uchifu yaepukwa Lamu kutokana na mauaji

KALUME KAZUNGU na MISHI GONGO WAKAZI wa vijiji vya Kaunti ya Lamu ambavyo vimekuwa vikishuhudia mauaji ya mara kwa mara ya maafisa wa...

Chifu anayekabili uasherati, HIV kwa kutandika wazinifu mijeledi

Na BERNARD OJWANG KAUNTI ya Homa Bay imegonga vichwa vya habari mara nyingi kwa sababu zisizo njema kama vile kukithiri kwa maambuizi ya...

NJAA: Chifu matatani kwa kufichua vifo

FLORAH KOECH, PETER MBURU Na FAITH NYAMAI CHIFU mmoja katika Kaunti ya Baringo amejipata matatani kwa kuwafichulia wanahabari kuwa...

Mamangu alinipa kiamsha kinywa cha busaa kila siku, asimulia chifu

Na MAGDALENE WANJA WAKENYA wengi wanamkumbuka kama chifu aliyehudhuria mkutano wa rais akiwa mlevi chakari mnamo mwaka wa 2016. Naibu...

Chifu auawa na kuchomwa mazishini kwenye ghasia

IRENE MWENDWA Na GEORGE SAYAGIE ?Chifu mmoja katika Kaunti ya Marsabit aliuawa Jumapili na kisha mwili wake kuchomwa akihudhuria mazishi...

Naibu chifu alinitandika bila sababu, asema ajuza

Na VIVIAN JEBET AJUZA wa miaka 68 anadai kushambuliwa na naibu wa chifu mjini Isiolo bila kufanya kosa, alipokuwa ameenda kumchukua...

Chifu wa Kilimani ashtakiwa kughushi cheti

Na RICHARD MUNGUTI CHIFU wa Kilimani, kaunti ya Nairobi alishtakiwa  kwa kughushi cheti cha kumruhusu mwenye hoteli kuendeleza biashara...