Chiloba sasa ateuliwa kinara wa Mamlaka ya Mawasiliano

Na SAMMY WAWERU ALIYEKUWA Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Ezra Chiloba Jumane jioni aliteuliwa kuwa...

Chiloba sasa apata kazi serikalini baada ya kutimuliwa na IEBC

Na VALENTINE OBARA ALIYEKUWA Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Bw Ezra Chiloba, atafungua mwaka kwa hali...

IEBC imeoza, hapa uvundo tu – Chiloba

Na WYCLIFFE MUIA ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Ezra Chiloba Alhamisi alifichua uozo zaidi uliokumba...

Chiloba kuitwa bungeni kujibu maswali licha ya kupigwa kalamu

Na CHARLES WASONGA AFISA Mkuu mtendaji wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) aliyefutwa kazi, Ezra Chiloba, huenda akaitwa kufika...

Hatujamtimua Chiloba, tunamtia adabu tu – IEBC

Na PETER MBURU TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Jumanne imepinga kauli kuwa afisa wake mkuu mtendaji (CEO) Ezra Chiloba ambaye...

Chiloba sasa ataka Chebukati asukumwe jela kwa kumpiga kalamu

Na RICHARD MUNGUTI Afisa mkuu Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Bw  Ezra Chiloba aliwasilisha kesi tena mahakamani akipinga...

Uhusiano wangu na Chebukati ni mzuri zaidi, masaibu yangu yanatoka nje – Chiloba

Na CHARLES WASONGA KWA mara ya kwamza Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) aliyesimamishwa kazi  kwa muda Ezra...

Makamishna wamtoroka Chebukati wakisema ameshindwa na kazi

Na JUMA NAMLOLA MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati Jumatatu ametorokwa na makamishna watatu wa tume...

Chiloba sasa amshtaki Chebukati

Na CHARLES WASONGA AFISA Mkuu Mtendaji wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Alhamisi amewasilisha kesi mahakamani kupinga uamuzi wa...

Makamishna walikubaliana nimsimamishe kazi Chiloba – Chebukati

Na VALENTINE OBARA MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Bw Wafula Chebukati, ametetea uamuzi wa kumsimamisha kazi kwa...

Mpasuko IEBC Chebukati akimsimamisha kazi Chiloba

Na WAANDISHI WETU MGAWANYIKO umeibuka upya katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kufuatia uamuzi wa Mwenyekiti wa tume hiyo, Bw...

Chebukati na Chiloba kuhojiwa na bunge kwa siku nne kuhusu matumizi ovyo ya mabilioni ya pesa

[caption id="attachment_3154" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati akiwa...