Tiba za kiasili za China tishio kwa Afrika-Ripoti

Na MASHIRIKA BEIJING, CHINA UPANUZI UNAOUNGWA mkono na Beijing kuhusu Dawa za Kiasili za China (TCM) katika mataifa mengi ya Afrika,...

‘WHO haitaishinikiza Uchina kufichua chanzo cha corona’

NA MASHIRIKA SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema haliwezi kuilazimisha Uchina kutoa habari zaidi kuhusu chanzo cha...

China kuchanganya chanjo mbalimbali kukabili corona

NA AP CHINA inapanga kuchanganya chanjo zake za kukabili virusi vya corona na chanjo kutoka nchi zingine ili kuimarisha ubora...

China yaanza kutoa chanjo ya Covid-19 kwa wageni wa mataifa mbalimbali

Na MASHIRIKA OFISI ya mambo ya kigeni jijini Beijing imesema Beijing imeanza kuwapa wageni wa mataifa mbalimbali chanjo ya...

CORONA: Uwezo wa chanjo ya China katika kuisaidia Afrika kukabili upungufu

Na MASHIRIKA MNAMO Machi 2021, Kituo cha Kupambana na Maradhi barani Afrika (Afrika CDC), kilitangaza kuwa bara hili bado linakabiliwa...

Wataalam watarajiwa China kuchunguza kiini cha corona

Na MASHIRIKA BEIJING, China WATAALAM wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wanatazamiwa kufika China kuchunguza kiini cha virusi vya...

Watu 18 wafa kwenye mgodi China

Na AFP BEIJING, China WACHIMBA migodi 18 Jumamosi, Desemba 5, 2020, walithibitishwa kufariki baada ya gesi ya ukaa kuvuja ndani ya...

Uhuru sasa aililia China ilegeze masharti ya madeni

Valentine Obara na PSCU RAIS Uhuru Kenyatta ameiomba Serikali ya China kulegeza masharti ya madeni ambayo taifa hilo linadai Kenya na...

Wachina waliokuwa Kenya waruhusiwa kurudi kwao

STEVE NJUGUNA Serikali ya China itawatoa wananchi wake 400 kutoka Kenya, huku kikundi cha kwanza kikiondoka Jumanne saa tano usiku kwa...

Mchina ndani kwa kuuza vifaa feki vya corona

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI Mkuu wa kampuni moja ya Uchina alishtakiwa Jumatatu kwa kuuza bidhaa feki za kupima ugonjwa wa...

Mateso ya Wakenya China: Serikali yawasilisha barua ya malalamishi

Na AGGREY MUTAMBO Kenya imewasilisha malalamishi kwa serikali ya China kuhusiana na picha zilizopeperushwa kwenye ruinga na mitandaoni...

China kuharibu pesa zote kuzima maambukizi zaidi

Na MASHIRIKA BENKI Kuu ya China imetangaza kuwa itaharibu pesa zote ambazo zimekusanywa na hospitali, mabasi na hata masoko katika...