Japan yaadhibu Chipu 48-34 katika raga ya dunia ya daraja la pili

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya raga ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 almaarufu Chipu ilitoa miamba Japan kijasho kabla ya...

Chipu kusaka muujiza dhidi ya Japan Raga ya Dunia U-20

Na GEOFFREY ANENE MAKOCHA Paul Odera (Kenya) na Yoshitake Mizuma (Japan) wametaja vikosi vyao kabla ya mechi ya Raga ya Dunia ya...

Chipu yaikomoa Brazil Raga ya Dunia U-20

Na GEOFFREY ANENE KENYA iliendeleza rekodi yake nzuri dhidi ya Brazil katika raga ya wachezaji 15 kila upande hadi ushindi tatu baada ya...

Chipu yahitaji Sh25 milioni kuenda Brazil

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya Kenya ya raga ya wachezaji 15 kila upande ya chipukizi maarufu Chipu inahitaji Sh25 milioni kushiriki Raga ya...

Serikali yaahidi kuwasaidia Chipu kwa kuibuka mabingwa wa Afrika raga U-20

Na GEOFFREY ANENE Serikali imeahidi kusaidia timu ya chipukizi ya Kenya kushiriki Raga ya Dunia ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20...

Kocha Odera ataja chipukizi wa Chipu tayari kuwinda tiketi ya JWRT

Na GEOFFREY ANENE WENYEJI Kenya wametaja kikosi kitakachowania tiketi ya kushiriki mashindano ya dunia ya Junior World Rugby...

Chipu yabandua Madagascar kutinga fainali Namibia

Na GEOFFREY ANENE CHIPU ya Kenya imetinga fainali ya mashindano ya raga ya Bara Afrika ya ukanda wa Afrika ya Kusini baada ya kulipua...

Kikosi cha Chipu kwenye raga za Namibia chatajwa

Na GEOFFREY ANENE KENYA imetaja kikosi cha Chipu (chipukizi) kitakachocheza kwenye Raga za Afrika za ukanda wa Kusini za wachezaji wanaume...