Watford wasajili chipukizi kutoka Ufaransa

Na CHRIS ADUNGO WATFORD wamemsajili kiungo Pape Gueye, 21, kwa mkataba wa miaka mitano kutoka kikosi cha Le Harve kinachoshiriki Ligi ya...

Namibia yazima Senegal raga ya chipukizi ikianza jijini Nairobi

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA watetezi Namibia wameanza mashindano ya Bara Afrika ya raga ya wachezaji 15 kila upande ya Barthes Trophy...

Kikosi cha Chipu kwenye raga za Namibia chatajwa

Na GEOFFREY ANENE KENYA imetaja kikosi cha Chipu (chipukizi) kitakachocheza kwenye Raga za Afrika za ukanda wa Kusini za wachezaji wanaume...

Chipukizi wa raga kupigania ubingwa wa Afrika Julai

Na GEOFFREY ANENE TIMU za raga za wachezaji saba kila upande za chipukizi za Kenya zitawania ubingwa wa Afrika katika mashindano ya...

Chipukizi 99 kung’ang’ania nafasi katika Harambee Stars U-20

Na GEOFFREY ANENE SHIRIKISHO la Soka la Kenya (FKF) limealika wachezaji 99 kwa majaribio ya kuunda timu ya taifa ya Under-20 yatakayoanza...

Maandalizi ya Stars U-20 yakosa kung’oa nanga tena

[caption id="attachment_1462" align="aligncenter" width="800"] Kiongozi wa makocha wanaohusika katika utafutaji wa vijana wanaojivunia...