Sutton athubutu kusema Salah anapiku Ronaldo na Messi katika orodha ya wanasoka bora zaidi duniani kwa sasa

Na MASHIRIKA FOWADI wa zamani wa Blackburn Rovers, Chris Sutton, amekiri kwamba Mohamed Salah ndiye mchezaji bora zaidi duniani kwa sasa...