Benteke atia saini mkataba mpya wa miaka miwili kambini mwa Crystal Palace

Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI matata raia wa Ubelgiji, Christian Benteke sasa atachezea Crystal Palace hadi mwishoni mwa msimu wa 2022-23...

Crystal Palace wazamisha chombo cha Brighton na kumweka kocha Graham Stephen Potter ‘pabaya’

Na MASHIRIKA BEKI Joel Veltman wa Brighton amesema kwamba namna walivyopoteza mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) dhidi ya Crystal...