Wilbaro, Chungwa vyazua mabishano

Na JUSTUS OCHIENG Naibu Rais William Ruto na Kiongozi wa ODM Raila Odinga sasa wanalaumiana kuhusu alama na kauli mbiu za vyama vyao...