Gretsa kupanua chuo katika ardhi ya ekari 60

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya kuzingatia maswala ya utafiti na teknolojia mpya katika vyuo vikuu ili kuambatana na mambo ya...

Agizo la HELB laibua hofu katika Chuo Kikuu cha Moi

Na DENNIS LUBANGA CHUO Kikuu cha Moi kimejipata katika njiapanda baada ya Halmashauri ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HELB) kuwaagiza...

Wakazi wamtaka Obama akubali chuo kikuu kipewe jina lake

Na Victor Raballa WAKAZI wa K'Ogelo wanamtaka aliyekuwa rais wa Amerika, Barack Obama, akubali hadharani chuo kikuu kinachopangiwa...

FUNGUKA: Sihitaji urembo kunyaka wahadhiri chuoni na kuwalambisha asali nipite mitihani

Na Pauline Ongaji Ni ndoto ya kila mwanafunzi wa chuo kikuu kufanya vyema katika mtihani wake na hata kuhitimu. Na ni ndoto ambayo...

Wanafunzi 23 waliofumaniwa wakishiriki ngono wafukuzwa chuoni

CHARLES WASONGA na DAILY MONITOR CHUO Kikuu cha Kiislamu nchini Uganda kimefukuza kwa muda wanafunzi 23 kwa tuhuma za  kushiriki...

GWIJI WA WIKI: Mwalimu, mshairi na mwandishi chipukizi

Na CHRIS ADUNGO UANDISHI ni mali na rasilmali iliyo kubwa, bora na yenye thamani zaidi kuliko rasilmali zote duniani. Kuwa na umilisi wa...

Shinikizo Naibu Chansela ajiuzulu kufuatia mauaji ya mwanachuo

Na DAVID MUCHUI MAUAJI ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Meru Evans Njoroge (pichani kushoto), yamezua...

Mwanafunzi awaua wazazi wake chuoni na kutoroka

Na MASHIRIKA MICHIGAN, AMERIKA MWANAFUNZI mmoja wa chuo kikuu Jumamosi aliwaua kwa kuwapiga risasi wazazi wake chuoni mwake katika...