Mjukuu wa Moi adai hana uwezo kulea watoto

Na JOSEPH OPENDA MJUKUU wa aliyekuwa Rais (mstaafu) Mzee Daniel Moi, anayekabiliwa na kesi inayohusu Sh1 milioni kila mwezi kugharamia...

DNA yaonyesha mjukuu wa Moi ndiye baba ya watoto anaopinga kuwalea

Na JOSEPH OPENDA UCHUNGUZI wa chembechembe za damu (DNA) umedhihirisha kuwa mjukuu wa hayati Daniel Moi, ndiye baba mzazi wa watoto...

Mjukuu wa Moi asalimu amri, sasa kupimwa DNA

Na JOSEPH OPENDA HATIMAYE mjukuu wa rais wa zamani marehemu Daniel Moi amekubali kutii agizo la mahakama la kumtaka afanyiwe uchunguzi...