Gor, AFC Leopards waumiza nyasi bure alasiri nzima

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA watetezi Gor Mahia walidumisha rekodi yao ya kutoshindwa na mahasimu wa tangu jadi AFC Leopards hadi mechi 10...