Zaidi ya Wakenya 700 wamezea mate nafasi nne za makamishna wa IEBC

Na CHARLES WASONGA ZAIDI ya Wakenya 700 wametuma maombi ya kutaka kujaza nafasi nne za makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka...

IEBC: Mchakato wa kuteua makamishna 4 wapya kushika kasi wiki hii

Na CHARLES WASONGA ASASI mbalimbali ambazo zinahitajika kuwasilisha majina kwa jopo la kuteua makamishna wapya wa Tume Huru ya Uchaguzi...