Juventus wapepeta Atalanta na kutwaa ubingwa wa Coppa Italia

Na MASHIRIKA MABAO kutoka kwa Federico Chiesa na Dejan Kulusevski yaliwawezesha Juventus kuwatandika Atalanta 2-1 na kuzoa taji la Coppa...

Ibrahimovic na Lukaku wapigwa marufuku ya mechi moja kila mmoja kwa utovu wa nidhamu

Na MASHIRIKA MAFOWADI Zlatan Ibrahimovic na Romelu Lukaku wamepigwa marufuku ya mechi moja kila mmoja baada ya kudhihirisha utovu wa...

Juventus waingia fainali ya Coppa Italia licha ya Ronaldo kupoteza penalti

Na CHRIS ADUNGO MABINGWA mara 13 wa taji la Coppa Italia, Juventus, walitinga fainali ya kipute hicho msimu huu kwa kanuni ya bao la...

Soka ya Italia kurejea kwa nusu-fainali ya Coppa Italia

Na CHRIS ADUNGO JUVENTUS na AC Milan zitakuwa klabu za kwanza kurejelea soka ya Italia zitakapovaana Ijumaa ya Juni 12 katika mkondo wa...