Cotu yamtaka Matiang’i asikize kilio cha polisi

Na ELIZABETH OJINA Katibu Mkuu wa COTU, Francis Atwoli (pichani) amemtaka Waziri wa Usalama wa Ndani Dkt Fred Matiang'i kushughulikia...

‘Sababu zangu kuoa manyanga’

Na LEONARD ONYANGO KATIBU wa Muungano wa Wafanyakazi nchini (Cotu) Francis Atwoli, ameeleza hadharani sababu zake za kuoa mke wa pili;...

MBURU: Ni wazi, viongozi wa wafanyakazi hawana haja nao

Na PETER MBURU HUKU hali ya maisha kwa Wakenya wa kawaida ikizidi kuharibika kila siku kutokana na mzigo mkubwa wa ushuru na gharama ya...

TAHARIRI: Jambo lifanywe kuhusu mishahara

NA MHARIRI JUMATANO hii ulimwengu unaposherehekea sikukuu ya Lebadei, Kenya kwa inahitaji kujali maslahi ya wafanyakazi wake hasa wakati...

KNUT yaungana na COTU, lengo si kushinikiza serikali, asema Sossion

NA CECIL ODONGO VIONGOZI wa Muungano wa kitaifa wa vyama vya wafanyakazi Kenya (COTU) na Chama cha kitaifa cha kutetea walimu nchini...

COTU pia yaishtaki serikali kuhusu ushuru wa mafuta

ANITA CHEPKOECH Na PETER MBURU MUUNGANO wa Vyama vya Wafanyakazi (Cotu) umeishtaki serikali kuhusiana na kulipisha ushuru wa asilimia 16...

COTU yapinga wafanyakazi kukatwa ada ya nyumba

Na BERNARDINE MUTANU Muungano wa vyama vya wafanyikazi (COTU) umepinga pendekezo la Hazina ya Maendeleo ya Nyumba (NHDF). Waziri wa Fedha...

COTU yapinga uteuzi wa Karangi kusimamia NSSF

Na Wanderi Kamau MUUNGANO wa Kitaifa wa Wafanyakazi (COTU) umepinga uteuzi wa aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Mstaafu Julius Karangi...

Leba Dei: Makali ya uchumi yawatafuna zaidi Wakenya

Na BENSON MATHEKA WAKENYA Jumanne waliadhimisha siku ya wafanyakazi ulimwenguni katika mazingira magumu mno, gharama ya maisha...

Leba Dei ya malumbano kati ya COTU, NHIF na NSSF

Na BENSON MATHEKA WAKENYA wanaadhimisha siku ya wafanyakazi ulimwenguni Jumanne huku vyama vya wafanyakazi na serikali vikizozana kuhusu...

Ruto atengwa kuhusu marekebisho ya katiba

Na BERNADINE MUTANU NAIBU RAIS William Ruto Jumamosi aliendelea kutengwa kwa upinzani wake kwa mapendekezo ya kufanyia marekebisho...

COTU na FKE zatisha kujiondoa NSSF

Na BERNARDINE MUTANU MUUNGANO wa Vyama vya Wafanyikazi (COTU-K) na lile la waajiri (FKE) limetishia kujiondoa katika Hazina ya Kitaifa...