Crystal Palace waduwaza Man-City kwenye EPL

Na MASHIRIKA WILFRIED Zaha aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufungia Crystal Palace mabao 50 katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)...

Crystal Palace yapiga Spurs breki kali katika EPL

Na MASHIRIKA ODSONNE Edouard alifunga mabao mawili katika mchuano wake wa kwanza ndani ya jezi ya Crystal Palace na kusaidia kikosi...

Vigogo Man-U, Chelsea na Liverpool mawindoni leo

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza MIAMBA wa Manchester United, Chelsea na Liverpool watalenga kuanza msimu mpya wa Ligi Kuu ya...

Arsenal wacharaza Crystal Palace ugenini na kupaa hadi nafasi ya tisa kwenye jedwali la EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Roy Hodgson amesema kibarua cha kunoa Crystal Palace kimekuwa sawa na “hadithi au safari ya kuridhisha” licha ya...

Zaha ndiye mchezaji wa kwanza wa EPL kususia utaratibu wa kupiga goti kabla ya mechi

Na MASHIRIKA FOWADI Wilfried Zaha wa Crystal Palace ndiye mwanasoka wa kwanza wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kutopiga goti kabla ya...

Crystal Palace wazamisha chombo cha Brighton na kumweka kocha Graham Stephen Potter ‘pabaya’

Na MASHIRIKA BEKI Joel Veltman wa Brighton amesema kwamba namna walivyopoteza mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) dhidi ya Crystal...

Liverpool wadhalilisha Palace kwa kichapo cha 7-0 ligini

Na MASHIRIKA LIVERPOOL waliweka wazi azma ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu kwa kudhalilisha Crystal Palace...

Manchester United wasuka njama ya kuangamiza Palace

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza MANCHESTER United inatarajiwa kuendeleza ukatili wake dhidi ya Crystal Palace itakayozuru uwanjani...