Shikanda asema ladha ya ligi iliisha Juni 30

Na JOHN ASHIHUNDU MWENYEKITI wa klabu ya AFC Leopards Dan Shikanda amefichua kwamba ladha ya Ligi Kuu ya FKF PL iliisha mara tu Tusker...

Timu kubwa Kenya zaumia kutokana na ukosefu wa viwanja

Na JOHN ASHIHUNDU UKOSEFU wa viwanja vya kisasa katika Kaunti ya Nairobi unaendelea kuumiza timu za Ligi Kuu huku wachezaji wakiendelea...

AFC Leopards tayari kuanika silaha mpya walizojitwalia muhula huu

Na CHRIS ADUNGO BAADA ya majuma kadhaa ya kusubiri, mabingwa mara 13 wa Ligi Kuu ya Kenya, AFC Leopards sasa wanatarajiwa kutambulisha...

Sofapaka wataka AFC Leopards waombe msamaha kwa kuwadunisha

Na CHRIS ADUNGO KIKOSI cha Sofapaka kinachoshiriki Ligi Kuu ya Kenya (KPL) sasa kinataka mwenyekiti wa AFC Leopards, Dan Shikanda,...