Majaji waogopa kazi ya Maraga

Na BENSON MATHEKA MAJAJI wenye tajriba kubwa, wakiwemo wote watano kwenye Mahakama ya Juu, wamekataa kuomba nafasi iliyoachwa na Jaji...

Viongozi wataka Jaji Mkuu mpya ateuliwe kwa uwazi

Na SHABAN MAKOKHA VIONGOZI kadhaa jana walijitokeza kuonya dhidi ya kuingiliwa kwa mchakato wa kumteua Jaji Mkuu mpya atakayemrithi...

Maraga kustaafu baada ya pandashuka tele akiongoza mahakama

Na RICHARD MUNGUTI JANUARI 12, 2021, Jaji Mkuu David Kenanu Maraga, atastaafu rasmi baada ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka minne baada...

Maraga kukamilisha kipindi chake leo Ijumaa

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Mkuu David Maraga atang’atuka ofisini leo Ijumaa baada ya kuhudumia Idara ya Mahakama kwa miaka minne katika...

Huenda Kenya ikose Jaji Mkuu kwa miezi 6

Na JOSEPH WANGUI KENYA huenda itakaa bila Jaji Mkuu halisi hadi Juni 2021 baada ya jaribio la Tume ya Huduma za Majaji (JSC)...

Maraga ateua jopo kusikiza kesi ya kuvunja Bunge

Na JOSEPH WANGUI JAJI Mkuu David Maraga amebuni jopo la majaji watano ambao watasikiza na kuamua kesi zilizowasilishwa mahakamani...

Maraga azua sokomoko

Na CHARLES WASONGA USHAURI wa Jaji Mkuu David Maraga kwa Rais Uhuru Kenyatta kuwa anapasa kuvunja Bunge la Taifa na Seneti limezua hali...

Kesi ya mama aliyedai kuzaa na Maraga yatupwa

Na Richard Munguti MAHAKAMA ya kuamua kesi za watoto, Jumatano ilitupilia mbali kesi ambayo mwanamke alidai Jaji Mkuu David Maraga...

Hacheki na Uhuru

Na BENSON MATHEKA JAJI Mkuu David Maraga, amejitokeza kuwa kiongozi pekee aliye na ujasiri wa kumwambia Rais Uhuru Kenyatta ukweli...