Afueni Rudisha akifanyiwa upasuaji na kutangaza atarejea kutimka hivi karibuni

Na GEOFFREY ANENE OLUBUYI MSHIKILIZI wa rekodi ya dunia mbio za mita 800 David Lekuta Rudisha anafurahia anaweza kurejea ulingoni hivi...

David Rudisha nje wiki 16 baada ya upasuaji

Na GEOFFREY ANENE MSHIKILIZI wa rekodi ya dunia ya mbio za mita 800 za wanaume, David Rudisha atakuwa mkekani kwa kati ya wiki 12 na 16...