Kemsa lawamani tena hospitali zikikosa dawa

IRENE MUGO na ELIZABETH OJINA HOSPITAL katika kaunti kadhaa zimekumbwa na uhaba wa dawa zikiwemo za kukabili maambukizi ya...

Madhara ya kutumia dawa bila ushauri wa daktari

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com MARA nyingi watu wanaugua maradhi mbalimbali, lakini wengi wao hawapendi kwenda...

Dawa za kutibu akili taahira zinapogeuzwa ulevi wa mauti

Na MWANGI MUIRURI Kwa muda mrefu sasa, biashara ya mihadarati ambayo imezua visa vya ujambazi wa kikatili miongoni mwa vijana katika...

Kiini cha kufifia kwa nguvu za kufanya mapenzi

Na LEONARD ONYANGO WENGI wa wanaume walio na tatizo la nguvu za kiume hupendelea kusalia kimya kwani huona aibu kulizungumzia au kwenda...

Dawa bandia za hamu ya mapenzi zinavyohatarisha maisha ya wanaume

NA PAULINE ONGAJI   WANAUME humu nchini wamekuwa wakihatarisha maisha yao kwa kutumia kiholela dawa za kuongeza hamu ya mapenzi...

COVID-19: Magufuli kutuma ndege Madagascar iwachukulie Watanzania ‘dawa’ aina ya chai ya mitishamba

MASHIRIKA na CHARLES WASONGA RAIS wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema taifa lake litaagiza dawa ya kienyeji ambayo imedaiwa kutibu...

CORONA: Onyo baadhi ya dawa zikitumika bila ushauri wa wataalamu zinasababisha upofu

Na MAGDALENE WANJA BODI ya Dawa na Sumu imeonya kwamba matumizi ya dawa za Chloroquine na Hydroxychloroquine yanaweza yakasababisha...

CORONA: Wataalamu waonya Wakenya dhidi ya matumizi holela ya dawa

Na MAGDALENE WANJA SHIRIKA la Wanafamasia Nchini (PSK) limewaonya Wakenya dhidi ya kujitibu au kununua dawa zozote za kutibu maradhi ya...

Elungata awaonya walanguzi wa dawa za kulevya

Na KALUME KAZUNGU MSHIRIKISHI wa Usalama Ukanda wa Pwani, John Elungata, ametoa onyo kali kwa walanguzi wa dawa za kulevya wanaonyemelea...

Dawa feki zafurika madukani

Na LEONARD ONYANGO HEWA chafu, maji yenye sumu na kufurika kwa dawa feki na zilizopitwa na wakati ni miongoni mwa hatari zaidi...

Afueni kwa serikali za kaunti baada ya Kemsa kukubali kuzipa dawa kwa mkopo

Na CHARLES WASONGA KERO ya uhaba wa dawa katika hospitali za umma katika kaunti sasa huenda ikapungua. Hii ni baada ya Mamlaka ya...

Gavana ataka kaunti ziwe na uhuru wa kununua dawa zao

Na OSCAR KAKAI GAVANA wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Prof John Lonyangapuo ameisuta serikali kuu kuhusu sera ya kulazimu serikali za...