Mkuu wa DCI ahukumiwa miezi minne jela

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) George Kinoti, Alhamisi alihukumiwa kifungo cha miezi minne gerezani...

Maoni mseto mitandaoni DCI ikianza kutumia Kiswahili kusimulia matukio

Na WANGU KANURI wkanuri@ke.nationmedia.com BAADA ya Idara ya Uchunguzi wa Uhalifu (DCI) kuchapisha kuwa itakuwa ikielezea matukio kwa...

Ukitapeliwa pesa kwa simu ni heri uzisahau tu – DCI

Na LEONARD ONYANGO UWEZEKANO wa kurudishiwa fedha zako baada ya kutapeliwa na wahalifu kwa njia simu au mtandao, ni mfinyu, polisi...

DCI yachunguza kisa cha watoto kufungwa

Na STEVE NJUGUNA IDARA ya Upelelezi Nchini (DCI) imeanzisha uchunguzi kuhusu kisa ambapo walimu wawili waliwafunga wanafunzi watatu wa...

DCI yaonya wasichana dhidi ya walaghai mtandaoni

Na MARY WANGARI Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imetoa ilani kuhusu matapeli wanaowavizia wasichana mitandaoni kwa kutumia...

Sonko aandamana na wakili wake hadi afisi za DCI

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Gavana wa Nairobi Mike Sonko Jumatatu alifika katika makao makuu ya Uchunguzi wa Jinai (DCI) kuhojiwa na...

Afisa wa DCI asukumwa jela miaka 5 kwa utekaji nyara

NA RICHARD MUNGUTI AFISA mmoja wa polisi Ijumaa alihukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani kwa hatia ya kuwateka nyara raia wawili wa...

DCI wafuata iwapo mtoto alitolewa kafara

Na MWANGI MUIRURI WAPELELEZI wanaochunguza mauaji ya kikatili ya msichana wa miaka tisa katika Kaunti ya Murang’a, sasa wanafuatilia...

DCI aliyebaka mwanamke kituoni aachiliwa kwa bondi ya Sh500,000

NA GEORGE MUNENE Afisa wa ngazi ya juu katika kitengo cha DCI ameshtakiwa kwa kosa la kumbaka mwanamke mmoja aliyekuwa chini ya ulinzi...

DCI yaanza kuchunguza kifo cha Prof Walibora

Na CHRIS ADUNGO IDARA ya Upelelezi ya kesi za Jinai, DCI, sasa imeanzisha uchunguzi ili kubaini iwapo Profesa Ken Walibora alifariki...

MATHEKA: Huu si wakati ufaao kwa Haji, Kinoti kuumbuana

Na BENSON MATHEKA Ni muhimu kusema ukweli ikiwa vita dhidi ya ufisadi ambavyo vimevumishwa mno katika kipindi cha pili cha utawala wa...

Ruto alinidanganya – DCI

Na WANDERI KAMAU NAIBU Rais William Ruto alisema uwongo kuhusu ziara ya aliyekuwa waziri wa michezo Rashid Echesa ofisini mwake Harambee...