Messi hunirahisishia kazi uwanjani – Dembele

NA CECIL ODONGO WINGA wa Barcelona Ousmane Dembele amesifu ushirikiano wake na nyota wa timu hiyo Lionel Messi akisema umemsaidia sana...