DP yamteua Spika Muturi kuwa mgombeaji urais

Na KENYA NEWS AGENCY CHAMA cha Democratic Party (DP) kimemteua Spika wa Bunge la Kitaifa, Justin Muturi kuwa mgombeaji wake wa urais...