WANDERI KAMAU: Serikali isirejeshe enzi za giza na kuua demokrasia

Na WANDERI KAMAU KATI ya mwaka 1964 na 1970, Kenya ilishuhudia karibu marekebisho 20 ya kikatiba. Ingawa baadhi ya marekebisho hayo...

Uhuru atikisa demokrasia

Na WANDERI KAMAU KENYA imo kwenye hatari ya kuzama kidemokrasia ikiwa Rais Uhuru Kenyatta na washirika wake hawatakoma kuhujumu idara...

UGANDA: Demokrasia Afrika bado ni ndoto

NA WACHIRA ELISHAPAN  Bara la Afrika kwa Mara nyingine limejipata katika hali tata,baada ya rais wa jamhuri ya Uganda Yoweri Museveni...

2020: Demokrasia ilivyodorora Afrika kupitia chaguzi mbalimbali

Na LEONARD ONYANGO MATAIFA tisa yalifanya uchaguzi wa urais mwaka huu barani Afrika licha ya kuwepo kwa janga la virusi vya corona...

WANDERI KAMAU: Ufalme huenda ukarejesha siasa komavu ulimwenguni

Na WANDERI KAMAU MKWAMO wa kisiasa ambao umejitokeza kwenye uchaguzi mkuu wa urais nchini Amerika umeibua maswali kuhusu ufaafu wa mfumo...

Msanii Omar Blondin Diop alivyoteswa akipigania haki za raia wa Senegal

NA FLORIAN BOBIN Maisha ya mwanaharakati na msanii wa Senegal Omar Blondin Diop, aliyeuawa mwaka 1973 kwa kupigwa risasi chini ya...

IEBC mbioni kuhakikisha demokrasia na mada kuhusu uchaguzi zinapewa zingatio shule za msingi

Na MISHI GONGO TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeanzisha mikakati ya kutaka kuingizwa kwa somo la demokrasia na uchaguzi katika...

WANDERI: Umoja ni nguzo kuu kwa wanaotetea mapinduzi

Na WANDERI KAMAU WAAFRIKA wana mengi kujifunza kutoka kwa Waarabu katika kushinikiza mageuzi ya kimfumo katika nchi zao. Tangu 2011,...

TEKNOLOJIA: Mitandao ya kijamii inavyotumika kudunisha demokrasia duniani

NA FAUSTINE NGILA DUNIANI KOTE, mitandao ya kijamii imewapa watu sauti katika maamuzi ya kisiasa na kuwasukuma maafisa wa serikali...

TUNARUDI TENA CHAMA KIMOJA? Demokrasia hatarini

Na BENSON MATHEKA Kenya inarejea taratibu katika utawala wa chama kimoja kufuatia matukio ya hivi majuzi ya wanasiasa kujiunga na...

TAHARIRI: Malipo ya juu mahakamani yataua demokrasia

[caption id="attachment_1315" align="aligncenter" width="800"] Bi Wavinya Ndeti aliyewasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wa Gavana wa...