Uhuru kuachia kila raia deni la Sh260,000

Na CECIL ODONGO RAIS Uhuru Kenyatta ataachia kila Mkenya deni la Sh260,000 atakapostaafu siasa baada ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9,...

Serikali yakiri kudaiwa Sh16m za usalama wa baharini

Na WINNIE ATIENO SERIKALI imeungama kudaiwa Sh16 milioni na kampuni ya Ufaransa ambayo hutoa huduma za usalama wa baharini. Waziri wa...

KENYA IMESOTA!

LEONARD ONYANGO Na BENSON MATHEKA SERIKALI sasa inategemea mikopo kuendesha shughuli zake baada ya kuishiwa na fedha kabla ya kukamilika...

Nia yetu ni kuisaidia Kenya kumudu madeni – IMF

Na VALENTINE OBARA SHIRIKA la Fedha Ulimwenguni (IMF) limejitetea baada ya kukosolewa na Wakenya mitandaoni kwa kuendelea kuipa serikali...

Wakenya waendelea kuishinikiza IMF kukoma kuikopesha Kenya

Na SAMMY WAWERU WAKENYA mitandaoni wameendeleza mchakato wa kulishinikiza Shirika la Fedha Duniani (IMF) kufuta mkopo wa Sh257 bilioni...

Raia wa Sudan ndani kwa kukaidi kulipa deni

Na RICHARD MUNGUTI RAIA wa Sudan Jumatatu aliamriwa azuiliwe korokoroni ibainike ikiwa amelipa deni la mamilioni ya pesa kabla ya...

IMF kukopesha Kenya Sh262b kufufua uchumi

Na CHARLES WASONGA MAAFISA wa Shirika la Fedha Ulimwenguni (IMF) wanaozuru Kenya wametangaza kuwa shirika hilo litaipa Kenya mkopo wa...

Yattani apondwa kuhusu ongezeko la deni la kitaifa

Na David Mwere IDARA ya Bunge kuhusu Bajeti (PBO) sasa inalaumu Wizara ya Fedha kwa deni kubwa la kitaifa ambalo linaendelea...

TAHARIRI: Tusipochunga madeni yatazamisha Kenya

NA MHARIRI Kwa mara nyingine tena, ofisi inayoshughulika na bajeti katika bunge (PBO) imeonya kuwa huenda Kenya ikanyimwa mikopo...

Kenya hatarini kunyimwa mikopo kufuatia deni la Sh7 trilioni

DAVID MWERE Na BENSON MATHEKA Huenda ikawa vigumu kwa Kenya kukopa kutoka mashirika ya wafadhili duniani kutokana na deni linaloendelea...

Deni la Kenya sasa lafika Sh6.28 trilioni

NA JOHN MUTUA DENI la Kenya sasa limeongezeka kwa asilimia 15 na kufika Sh6.28 trilioni katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka...

Mwanamke azuiliwa akikabiliwa na shtaka la kumuua mumewe kwa sababu ya deni la Sh1,700

Na RICHARD MUNGUTI MAMA wa watoto watano alifikishwa mahakamani kwa madai alimuua mumewe kwa sababu ya deni la Sh1,700. Susan Kawira...