Wanachama KKA wavutania viti serikalini

NA ONYANGO K’ONYANGO SIKU chache baada ya Mahakama ya Upeo kuidhinisha ushindi wa Rais mteule William Ruto, mng’ang’anio mkali wa...

Serikali yawaonya Waluke na Barasa dhidi ya kujiita wanajeshi kwa kampeni

Na WALTER MENYA TUME ya Maadili na Kukabiliana na Ufisadi (EACC), imewaonya wanasiasa dhidi ya kutumia vyeo vya kijeshi katika kampeni...

Mbunge aalipa dhamana ya Sh100,000 kwa kumcharaza msanii

Na WINNIE ONYANDO Mbunge wa Kimilili Bw Didmus Barasa amekana mashtaka ya kumshambulia mwanamuziki na kuachiliwa kwa dhamana ya...

Pigo Ruto akipoteza ‘jenerali’

Na WANDERI KAMAU KAMBI ya kisiasa ya Naibu Rais, Dkt William Ruto iliendelea kuyumba Jumapili baada ya mbunge Didmus Barasa wa Kimilili...

Didmus Barasa asema amegura siasa za wilbaro kuunganisha Waluhya

Na CHARLES WASONGA na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Kimilili Didmus Barasa ambaye ni mwandani wa Naibu Rais William Ruto ametangaza kuwa...

Barasa: Waliozua fujo Kabuchai wangali huru, tunaonewa kama wandani wa Ruto

Na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Kimilili Bw Didmus Barasa amedai wandani wa Naibu wa Rais, Dkt William Ruto wanahangaishwa kwa sababu ya...